Wanafunzi wa Adventista Wasabato wa vyuo mbalimbali kutoka kanda ya kusini mwa Dar es salaam wajitoa kikamilifu kufanya usafi katika Shule ya msingi lakini pia Zahanati kama njia ya kuonesha mfano bora kwa jamii lakini pia kuunga kauli ya Rais kudumisha usafi katika mazingira tunamoishi. Wanafunzi wao hawakuishia kufanya usafi lakini pia walitoa elimu kwa watu wanaozunguka Taasisi juu ya umuhimu wa usafi na jinsi ya kudumisha usafi.
Wanafunzi hawa wanatusihi tudumishe usafi katika mazingira yetu ili kuepuka magonjwa ya milipuko katika jamii yetu
Tupende mazingira yetu tuyatunze maana mazingira ni sisi na sisi ni mazingira
Wanafunzi hawa wanatusihi tudumishe usafi katika mazingira yetu ili kuepuka magonjwa ya milipuko katika jamii yetu
Tupende mazingira yetu tuyatunze maana mazingira ni sisi na sisi ni mazingira

No comments:
Post a Comment