TUCASA SODAZO

WELCOME TO SODAZO WEBSITE.
THIS IS OFFICIAL WEBSITE OF TANZANIA UNIVERSTIES AND COLLEGES ADVENTIST STUDENT ASSOCIATION-SOUTHERN DAR ES SALAAM ZONE(SODAZO)
TUCASA SODAZO: SODAZO FEDERATION 28/04/2018

Monday, 23 April 2018

SODAZO FEDERATION 28/04/2018

Karibu federation ya SODAZO itakayofanyika tarehe 28/04/2018 katika CHUO CHA KILIMO NA UFUGAJI (CANRE) siku ya jumamosi kuanzia saa 2 kamili asubuhi hadi saa 11 jioni kutakuwa na mafundisho mbalimbali kutoka kwa wachugaji waliobarikiwa na MUNGU kulihubiri neno lake lakini itaambatani na uimbaji
Wachugaji watakao kuwepo ni
      Pr.SHEMBA
     Pr.DIZOMBE
     Pr.MAIKO

Kutakuwepo na kwaya , vikundi na waimbaji mbalimbali
       NELSON SHIRIMA
      TUCASA MABIBO HOSTEL CHOIR
     TUCASA NIT CHOIR
     TUCASA PARADIGMS CHOIR
     TUCASA CANRE CHOIR
     TUCASA KIBAHA CHOIR

JE UMEWAHI KUWEPO PALEEE........
Pale ambapo Viongozi wapya wanapokabidhiwa HEWA ya KANDA YA SODAZO, pale ambapo OWIGO,ASHERI,MANJALE ,ISACK ,JAMES,JESTA ,MODIBILE,MMBAGA,NJUGU na wengine wanapoenda kuachia hewa na kuitwa waliokuwa viongozi enzi hizoo usikose




kwa maelekezo zaidi endelea kutembelea ukurasa huu......

           KARIBU SAAANA

No comments: