TUCASA SODAZO

WELCOME TO SODAZO WEBSITE.
THIS IS OFFICIAL WEBSITE OF TANZANIA UNIVERSTIES AND COLLEGES ADVENTIST STUDENT ASSOCIATION-SOUTHERN DAR ES SALAAM ZONE(SODAZO)
TUCASA SODAZO

Wednesday, 15 November 2017

RATIBA YA FEDERATION YA SODAZO 18/11/2017

Ratiba ya federation ya SODAZO itakayo fanyika siku ya jumamosi tarehe 18/11/2017 katika tawi la KIBAHA COTC



TUCASA SODAZO FEDERATION 18/11/2017

Tucasa sodazo inapenda kukukaribisha kwenye FEDERATION itakayo fanyika siku ya jumamosi tarehe 18/11/2017. Katika chuo cha afya KIBAHA COTC
     Federation hii itaambatana na kwaya mbalimbali kama

                         TUCASA MABIBO CHOIR
                         TUCASA NIT CHOIR
                        TUCASA PARADIGMS CHOIR
                        TUCASA CANRE CHOIR
                       TUCASA KIBAHA CHOIR

Mbali na hizo kwaya lakini pia kutakuwa na muonekano wa kipekee wa waimbaji wafuatao 

                                NAMSIFU
                                JANET
                                MKUZA




Thursday, 12 October 2017

WANAFUZI WA VYUO WAJITOA KUFANYA USAFI SHULENI NA HOSPITALINI

Wanafunzi  wa Adventista Wasabato wa vyuo mbalimbali  kutoka kanda ya kusini mwa Dar es salaam wajitoa kikamilifu kufanya usafi katika Shule ya msingi lakini pia Zahanati kama njia ya kuonesha mfano bora kwa jamii lakini pia kuunga kauli ya Rais kudumisha usafi katika mazingira tunamoishi. Wanafunzi wao hawakuishia kufanya usafi lakini pia  walitoa elimu kwa watu wanaozunguka Taasisi juu ya umuhimu wa usafi na jinsi ya kudumisha usafi.
Wanafunzi hawa wanatusihi tudumishe usafi katika mazingira yetu ili kuepuka magonjwa ya milipuko katika jamii yetu
Tupende mazingira yetu tuyatunze maana mazingira ni sisi na sisi ni mazingira







Wednesday, 27 September 2017

MAZINGIRA AMBAYO EFFORT YA MTWARA INAFANYIKIA KWA KANDA YA SODAZO

haya ndo mazingira halisi, ambapo effort yetu inafanyikia kwa kanda ya sodazo.
ni kijiji cha msijute

JENGO LA KANISA








MAENEO YA NJE

 






                                               MUONEKANO WA NDANI

Wednesday, 12 July 2017


 
NI MUONEKANO WA T-SHIRT YA SODAZO maoni yako ni muhimu wapi paboreshwe kwenye hizo T-Shirt kabla hazijaletwa sokoni

MABIBO HOSTEL TUCASA CHOIR


Baadhi ya wanakwaya wanao unda kwaya ya mabibo hostel
hawa ni wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam wanaoshi katika hostel za mabibo
wanakusihi uendelee kuwaombea wanapofanya kazi ya MUNGU hakika shetani asipate nafasi tena ya kuwarudisha nyuma

KARIBU SANA MABIBO HOSTEL UKUTANE NA VIJANA HAWA






Tuesday, 11 July 2017


COMMING SOON MUONEKANO WA T-SHIRT YA SODAZO jiandae kupata ya kwako ENDELEA KUTEMBELEA BLOG HII KWA TAARIFA ZAIDI.

NIT Katika ubora wao

MPENDWA MWANA SODAZO TUNATHAMINI SANA MCHANGO WAKO KATIKA KUBORESHA BLOG YETU TAFADHALI TUNAOMBA MAONI YAKO NA MCHANGO KIPI KIBORESHWE ILI TUZIDI KUFANIKIWA ZAIDI

BAADHI YA VIONGOZI WA KANDA WLIPOTEMBELEA TAWI LA KIBAHA KOTC





BAADHI YA VIONGOZI WA KANDA WLIPOTEMBELEA TAWI LA KIBAHA KOTC

Friday, 7 July 2017


NI FEDERATION KUBWA ITAKAYOFANYIKA SIKU YA TAREHE 12/08/2017 KATIKA CHUO CHA NIT LAKINI PIA FEDERATIO HII ITAAMBATANA NA KUCHANGIA EFFORT YA MTWARA endelea kutembelea blog hii kwa taarifa zaidi